BABA NINAKUPENDA

(LORD, I LOVE YOU )

 

Baba Baba                                          

Baba ninakupenda,

asante sana Baba, Mwokozi wangu      

Baba Baba

Baba ninakupenda,

asante sana Baba, Mwokozi wangu

 

Mimi Hapa

Mimi sitaona haya,

Kusema mimi wako, na wewe wangu

Mimi Hapa

Mimi sitaona haya,

Kusema mimi wako, na wewe wangu

 

Katika Maisha yangu Baba

Nisaidie, nisaidie Baba ah

Katika Kazi zangu

Nisaidie, nisaidie Baba ah

Katika Mwenendo wangu Baba

Nisaidie, nisaidie Baba ah

 

Baba Baba

Baba ninakupenda,

asante sana Baba, Mwokozi wangu

Baba Yangu

Baba ninakupenda,

asante sana Baba, Mwokozi wangu

 

Mimi kamwe

Mimi Sitaona haya,

kusema mimi wako, na wewe wangu

Mimi Hapa

Mimi sitaona haya,

kusema mimi wako, na wewe wangu

 

Katika Kanisa lako Baba

Nisaidie, nisaidie Baba ah

Katika kazi zako Baba

Nisaidie, nisaidie Baba ah

Katika wokovu wangu

Nisaidie, nisaidie Baba Ah

 

English Translation

 

Father

Father I love you

Thank you Father, my Savior

Abba Father

Father I love you

Thank you Father, my Savior

 

I will never

I will never be ashamed

To say that I am Yours and You are mine

I will never

I will never be ashamed

To say that I am Yours and You are mine

 

In my life Father

Help me Father, help me

In my work Father

Help me Father, help me

In my ways father

Help me Father, help me.

 

Abba Father

Father I love you

Thank you Father, my Savior

My Father

Father I love you

Thank you Father, my Savior

 

I will never

I will never be ashamed

To say that I am Yours and You are mine

I will never

I will never be ashamed

To say that I am Yours and You are mine

 

In you Church Father

Help me Father, help me

In your work Father

Help me Father, help me

In my salvation father

Help me Father, help me.

back to lyrics | home