BWANA NI NURU YANGU

THE LORD IS MY SHINING STAR

(PSALMS 27)

 

Bwana ni nuru yangu

Ni nani?

Yeye ni ngome ya maisha yangu

Sita hofu mimi, mtu yeyote

 

CHORUS

Neno moja nimetamani

Nalo nitakamia

Nikae nyumbani mwake Bwana

Na kumtazama, milele

 

Wajapo maadui zangu

Kiniandama watajikwaa

Nijapozingirwa na majeshi

Sita hofu mimi moyoni

 

Wewe Umsaada wangu

Hutaniacha kamwe

Wazazi wajaponiacha mimi

Wewe Bwana wangu kimbilio

 

English Translation

 

The Lord is my shining star

Whom shall I fear?

He is the anchor of my life

I shall fear no one

 

CHORUS

One thing I have desired

And will continue to yearn for

Is to live in the house of the Lord

And to behold Him forever

 

When my enemies come

And they stalk me, they shall stumble

Though I am surrounded by armies

I will have no fear in my heart

 

You are my ever present help

You will never leave me

Even if I lost my parents

Lord, you are my refuge

back to lyrics | home