MAWAZO YA TUMAINI

THOUGHTS OF HOPE

(JEREMIAH 29, 1-13).

 

Safari ya maisha, ni ndefu

Mara nyingi, imejaa hofu

Lakini tukumbuke, mawazo ya

Bwana wetu, ni ya amani na tumaini.

 

CHORUS

Ni mawazo, ni mawazo, ni mawazo,

ya amani. 

Ni mawazo, ni mawazo, ni mawazo,

ya tumanini

 

Mtaniita, na kuniomba

Nitawasikliliza, nitawasikiliza

Mkinitafuta, na moyo wote

Mtanipata asema Bwana

 

CHORUS

 

Ndugu usiwe na shaka

Bwana yu pamoja nawe

Inua macho yako, tazama milimani

Msaada wako, watoka kwa Bwana, Aliyeumba, ulimwengu

 

CHORUS

 

Usifadhaike, moyoni mwako

Mungu alimtoa, Mwana wake wa pekee,

Ili wamwaminiye, wasipotee

Bali wawe, na uzima

 

English Translation

 

Life’s journey is long

Many times, it is filled with sorrow

But we should always remember

that the thoughts and plans of our God

Are of peace and hope

 

CHORUS

They are thoughts of peace

They are thoughts of hope

 

You will call me, and pray to me

And I will hear you

If you search for me, with all your heart

You will find me, says the Lord

 

CHORUS

 

Do not fear my brother

The Lord is with you

Lift up your eyes and look to the hills

Your help comes from the Lord,

The creator of the earth.

 

CHORUS

 

Let not your heart be troubled

God has given his only begotten Son.

So that all that believe in Him

Should not perish, but have eternal life

 

back to lyrics | home