WASTAHILI BWANA

YOU ARE WORTHY OH LORD

 

CHORUS

Wastahili Bwana.

Wastahili Bwana.

Ulikufa msalabani,

niokolewe,

wastahili Bwana

 

Wastahili Bwana.

Wastahili Bwana.

Ulibeba mizigo yangu,

sasa ni huru,

Wastahili Bwana

 

Uliacha utukufu wako.

Ukaishi kati yetu kwa mapendo.

Ulipatwa na simamzi ulinifia

Wastahili Bwana

 

CHORUS

 

Uliwekwa kaburini Bwana.

Ukafufuka wewe Bwana wangu.

Ulipaa juu mbinguni na watawala

Nakusifu Yesu

 

English Translation

 

CHORUS

You are worthy Lord,

You are worthy Lord

You died in the cross,

so that I could be saved

You are worthy Lord

 

You are worthy Lord,

You are worthy Lord

You carried all my burdens

Now I am free

You are worthy Lord

 

You left Your glory

And lived among us because of Your love

You felt pity me and You died for me

You are worthy Lord

 

CHORUS

 

You were laid in the grave Lord

And You rose from the dead  my Lord

You ascended to  heaven and You reign

I praise You my Lord

 

back to lyrics | home